Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Februari 07, 2023 Local time: 12:33

Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Javier Pérez de Cuéllar aaga dunia

Javier Pérez de Cuéllar, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 100, wizara ya mambo ya nje ya Peru imesema.

Katibu Mkuu huyo alitumikia awamu mbili katika wadhifa wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ambaye alisimamia tukio la kihistoria ya kusitisha mapigano kati ya Iran na Iraq mwaka 1988. Pia baadae katika uhai wake alijitokeza akiwa mstaafu kusaidia kurejesha demokrasia katika nchi yake ya Peru.

Makundi

XS
SM
MD
LG