Alex Ferguson meneja wa Manchester United astahafu
Kandanda Wiki hii, Mei 10, 2013
9
Juventus' Kwadwo Asamoah wa Juventus akimenyana na Egidio Arevalo Rios (top) Palermo wakati wa michuano ya ligi ya Utaliana, mjini Turin Mei 5, 2013.
10
Meneja wa mashuhuri na wa muda mrefu wa Manchester United Alex Ferguson akisherehekea ushindi wake wa mwisho kabla ya kustahafu pale timu yake imenyakua nafasi ya kwanza katika Premier League ya Uingereza baada ya kuishinda Aston Villa katika uwanja wa Old Trafford, Manchester, Aprili 22, 2013.
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- AFCON 2017