Alex Ferguson meneja wa Manchester United astahafu
Kandanda Wiki hii, Mei 10, 2013

1
Mchezaji wa timu ya Lekhwaiya, Dame Traore (kulia) apigania mpira na mchezaji wa Al-Sadd, Younes Mahmoud wakati wa finali ya kombe la Crown Prince mjini Doha May 4, 2013.

2
Robert Snodgrass, mchezaji wa Norwich City (juu) na Joe Bennet wa Aston Villa anarukia mpira ulopigwa krosi wakati wa mchuano wa Premier League Uingereza katika uwanja wa Carrow Road, Norwich Mei 4, 2013.

3
Cristian Ledesma (kushoto) mchezaji wa timu ya River Plate agon'gana na Pablo Ledesma wa Boca Junior walipokuwa wanakimbilia mpira katika mechi ya ligi ya kwanza ya Argentine mjini Buenos Aires Mei 5, 2013.

4
Golikipa wa Borussia Dortmund Roman Weidenfeller (kushoto) aokowa mpira mbele ya Cristiano Ronaldo (Kulia) wa Real Madrid wakati wa mchuano wao wa nusu finali mjini Madrid April 30, 2013.