No media source currently available
Kampuni ya China yazindua simu aina ya smartphone ambayo wanasema inatumia teknolojia ya kipekee. Ungana na mwandishi wetu akikuletea aina mbalimbali za simu ambazo zitaingia katika soko la ushindani wa simu duniani. Endelea kusikiliza...