Katika kona ya michezo hii leo Pep Guardiola anaamini Arsenal wanaweza kuwa wapinzani wa muda mrefu wa Manchester City. Ungana na mwandishi wetu akikuletea utabiri huo na michuano mengine huku akikupa taarifa za michuano mbalimbali. Endelea kumsikiliza...