Upatikanaji viungo

Breaking News

Siku ya Wanawake Duniani

Siku ya Kimataifa ya Wanawake ni siku ya kuangalia maendeleo yaliopatikana kutokana na usawa wa kijinsia pamoja na mambo ambayo yanahitaji kutazamwa.

Maandamano makubwa ya maelfu ya wanwake mjini New York wakidai malipo bora zaidi na mazingira bora ya kazi na haki ya kupiga kura iliyoanzisha Siku ya Kimatiafa ya Wanawake. Siku hii imebadilikia leo na kuwa siku ya kuangalia maendeleo yaliopatikana kutokana na usawa wa kijinsia pamoja na mambo ambayo yanahitaji kutazamwa.
Onyesha zaidi

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG