Mkurugenzi Mkuu huyo amesema kwamba shirika lake liko tayari kusaidia miradi mikubwa ya maendeleo kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa. Amesema ili mataifa haya yaweze kufanikiwa kuna umuhimu wa kuandaa miradi mizuri ambayo inaweza kupata ufadhili hasa kwa kuzingatia kuwa pesa iliyopo haitoshi.
IMF yatoa wito kwa mataifa ya Kiafrika kuandaa miradi inayoweza kupata ufadhili
Matukio
-
Mei 31, 2023
Sababu zilizopelekea ongezeko la kipindupindu Harare
-
Mei 31, 2023
Watoto waathirika wakubwa vita vya mji wa Bakhmut