Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Septemba 17, 2024 Local time: 22:50

IEBC yakanusha madai kuwa seva zake zilidukuliwa


IEBC yakanusha madai kuwa seva zake zilidukuliwa
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:51 0:00

Tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC imekanusha madai kuwa seva zake ziliingiliwa na watu wasiojulikana na kuwezesha utofauti wa matokeo ya uchaguzi kwenye fomu za matokeo zilizopitishwa kwa njia ya elektroniki.

XS
SM
MD
LG