Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Septemba 29, 2022 Local time: 06:48

Sherehe za Harusi ya Kifalme Uingereza

Sherehe za ndoa ya Prince Harry na Mwigizaji filamu wa zamani Meghan Markle inayofanyika katika Kanisa la Mtakatifu George kwenye Kasri ya Windsor, Karibu na London, Mei 19, 2018.

Maelfu ya wananchi wa Uingereza walijitokeza Jumamosi kusherehekea harusi ya Kifalme Uingereza ambayo pia ili hudhuriwa na watu mbalimbali kutoka mataifa mengine duniani.

Meghan Markle na Prince Harry wamevishana pete na kutangazwa kuwa mume na mke Windsor Castle katika sherehe inayofuatiliwa na mamilioni ya watu kupitia runinga, mtandao na redio.

Wapenzi hao walifungishwa ndoa mbele ya Malkia na wageni 600 waliokuwemo ndani ya kanisa la St George, katika Windsor Castle.

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG