Mashambulizi ya Paris- Dunia yatoa heshima za mwisho
Dunia yatoa heshima za mwisho katika mashambulizi ya Paris

1
Mwanaume mmoja na watoto wake wawili wa kiume wakiwa katika ubalozi wa ufaransa nchini Marekani kutoa heshima zao kwa waliouwawa Paris kutokana na shambulizi la kigaidi.

2
watu wakiweka mauwa na kuwahsa mishumaa nje ya ubalozi wa Ufaransa kukumbuka waliokufa kutokana na shambulizi la kigaidi.

3
Mwanamke akitoa uwa kukumbuka waathiriwa dhidi ya shambulizi la Kigaidi mjini Paris

4
Watu wakiwasha mishumaa mbele ya ubalozi wa Ufaransa huko Yangon, Myanmar, Nov. 15, 2015, kukumbuka waathiriwa wa shambulizi la kigaidi mjini Paris.