No media source currently available
Wanawake wanasimulia ubakaji waliofanyiwa na wanajeshi wa TPLF waliokuwa wanadhibiti maeneo ya nyanda za juu ya Ethiopia. Wengine waripotiwa kubakwa katika maeneo ya Amhara.