Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Agosti 19, 2022 Local time: 14:42

Jengo lilianguka, Nairobi

Jengo la gorofa saba lilianguka huko Nairobi na kusababisha vifo vya watu 21 na wengine wengi kujeruhiwa. Rais Kenyatta aliyetembelea eneo la ajali ametaka uchunguzi ufanyika katika majengo ya karibu ili kuthibitisha ziko katika hali ya usalama.​ Ametoa amri ya kukamatwa kwa mmiliki wa jengo hili.​

Makundi

XS
SM
MD
LG