Wanajeshi wa Ivory Coast wakubali kurudi katika kambi zao baada ya serikali kuahidi itatekeleza madai yao ya nyongeza za mishahara na marupurupu. Wanajeshi walifanya uasi kuansia mji wa kati wa Bouake na kuenea kote nchini kwa siku mbili hadi pale serikali ilipokubali kusikiliza madai yao.
Wanajeshi wa Ivory Coast wadai nyongeza za mishahara

1
Ujumbe wa wanajeshi waloasi wawasili kwa mazungumzo na waziri wa ulinzi, Alain-Richard Donwahi, mjini Bouake, Januari 7 2017.

2
Waziri wa ulinzi Alain Richard Donwahi akizungumza na waandishi wa habari alipowasili kwa mazungumzo na wanajeshi waloasi mjini Bouaké, Côte d’Ivoire.

3
Ujumbe wa wanajeshi waloasi wawasili kwa mazungumzo na waziri wa ulinzi, Alain-Richard Donwahi, mjini Bouake, Januari 7 2017.

4
Ujumbe wa wanajeshi waloasi kwenye mazungumzo na waziri wa ulinzi, Alain-Richard Donwahi, mjini Bouake, Januari 7 2017.