Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Februari 03, 2023 Local time: 00:27
VOA Direct Packages

Dunianileo : Mei 17 : Tanzania : Kamati yashauri serikali iruhusu chanjo


Dunianileo : Mei 17 : Tanzania : Kamati yashauri serikali iruhusu chanjo
please wait

No media source currently available

0:00 0:30:00 0:00

Kamati maalum iliyoundwa na Rais wa Tanzania kushauri kuhusu COVID-19 yapendekeza nchi hiyo iruhusu chanjo ya ugonjwa wa Corona.

- Taasisi za Kiislam nchini Marekani zimesusia Jumapili sherehe za Eid el Fitr zilizoandaliwa na White House kwa njia ya mitandao.

- Israeli yashambulia njia za chini kwa chini inazodai zinatumiwa na kikundi cha Hamas.

Facebook Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG