Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Februari 03, 2023 Local time: 16:58
VOA Direct Packages

Duniani Leo : Mei 6 : Marekani yaanza kutafuta suluhu ya mivutano Pembe ya Afrika


Duniani Leo : Mei 6 : Marekani yaanza kutafuta suluhu ya mivutano Pembe ya Afrika
please wait

No media source currently available

0:00 0:30:04 0:00

Marekani yaanzisha Juhudi za kutatua mivutano katika nchi zakanda za Pembe ya Afrika.

- Uamuzi wa Facebook na Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump umepelekea ishara kuwa viongozi wa dunia ni watumie vyema mitandao ya kijamii.

- Mahakama ya ICC imemhukumu Dominic Ongwen, kiongozi wa zamani wa kundi maarufu la waasi la Lord Resistance Army (LRA), kifungo cha miaka 25 jela.

Facebook Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG