Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Januari 30, 2023 Local time: 03:56
VOA Direct Packages

Duniani Leo : Juni 21 : Waethiopia wapiga kura huku malalamiko yakitolewa


Duniani Leo : Juni 21 : Waethiopia wapiga kura huku malalamiko yakitolewa
please wait

No media source currently available

0:00 0:30:01 0:00

Waethiopia wapiga kura katika uchaguzi unaodaiwa kugubikwa na dosari lakini Waziri Mkuu asema ulikuwa huru na wa haki.

- Rais mteule wa Iran asema hana mpango wa kukutana na Rais wa Marekani licha ya vikwazo vingi vya kiuchumi kuendelea kuwepo

- Changamoto zinazowakabili wakimbizi Afrika Mashariki na kwengineko zaangaziwa kwenye maadhimisho ya siku ya wakimbizi mwishoni mwa wiki.

Facebook Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG