Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Machi 27, 2023 Local time: 17:42
VOA Direct Packages

Duniani Leo : Aprili 5 : Wakazi waitaka serikali kuwarudisha ndugu waliokwama Msumbiji


Duniani Leo : Aprili 5 : Wakazi waitaka serikali kuwarudisha ndugu waliokwama Msumbiji
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Wakazi wa mpakani mwa Tanzania na Msumbiji, hasa mkoa wa Mtwara, waiomba serikali kuwarejesha ndugu zao wanaoishi Msumbiji.

- Kenya inakabiliwa na uhaba wa dawa za kudhibiti makali ya virusi vya Ukimwi.

- Wakazi wa kaskazini mashariki ya Congo wameanza leo mgomo wa siku 10 wakishinikiza Tume ya kulinda amani ya UN, MONUSCO kuondoka.

Facebook Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG