Tajiri mfanyabiashara maarufu Donald Trump ni mgombea kiti cha rais wa chama cha republican kufutia ushindi wake wa kipekee katika kampeni ya uchaguzi wa awali wa chama na kupambana vikali na mgombea wa chama cha Demokratik Hillary Clinton.
Maisha ya Donald Trump katika picha

1
Donald Trump amezaliwa June 14, 1946 mjini New York City. (Public domain)

2
Picha ya Donald Trump akiwa kijana katika chuo cha kijeshi cha at the New York Military Academy mwaka 1964. (Public domain)

3
Bendi ikicheza kwenye baraza ya jengo la Trump Tower ambalo halijamalizika katika mtaa wa New York wa Fifth Avenue huku wanunuzi wakitafuta zawadi za kritsmasi. Dec. 23, 1981. (AP Photo/Suzanne Vlamis)

4
Mmiliki wa majumba Donald J. Trump akionesha picha iliyochorwa ya wazo la kuwepo na mji ambao Trump alitaka kuutaja kama "Television City," magharibi ya Manhattan, Nov. 18, 1985. (AP Photo/Marty Lederhandler)