Polisi wa Uturuki wa kupambana na ghasia wamewaondowa walokuwa wanalalamika kutoka uwanja mkuu a kati wa Istanbul baada ya mapambano ya usiku kati ya pande mbili Jumanne Juni, 11 2013.
Polisi wa Uturuki wachukua udhibiti wa uwanja wa Taksim

9
Gari la kudhibiti waandamanaji lafyetua maji kutoka bomba dhidi ya waandamanaji kwnye uwanja wa Taksim Square mjini Istanbul, June 11, 2013.

10
Polis wa kupambana na ghasia anamskuma mpiga picha wakati wa malalamiko kwenye uwanja wa Taksim Square mjini Istanbul, June 11, 2013.

11
Mwandamanaji akijaribu kupambana na polisi wa ghasia kwnye uwanja wa Taksim Square mjini Istanbul, June 11, 2013.

12
Mwandamanaji akitembea mbele ya kizuizi kinachowaka moto wakati wa mapambano kwenye uwanja Taksim Square mjini stanbul, June 11, 2013.