Sherehe za Krismasi duniani
![Papa Francis akiomba dua wakati wa kutoa hotuba yake ya kwanza ya Krismasi "Urbi et Orbi" (kwa mji na dunia) kutoka baraza inayoelekea uwanza wa St. Peter huko, Vatican, Dec. 25, 2013](https://gdb.voanews.com/1fc46012-f577-4978-a7d6-d974fe1dde93_w1024_q10_s.jpg)
1
Papa Francis akiomba dua wakati wa kutoa hotuba yake ya kwanza ya Krismasi "Urbi et Orbi" (kwa mji na dunia) kutoka baraza inayoelekea uwanza wa St. Peter huko, Vatican, Dec. 25, 2013
![Wanajeshi wa Marekani katika Kikosi cha Kimataifa cha NATO wakitayarisha zawadi wakati wa sherehe za Krismasi mjini Kabul, Afghanistan Dec. 25, 2013.](https://gdb.voanews.com/b691b653-6ea7-4adb-956f-c106be9f5400_w1024_q10_s.jpg)
2
Wanajeshi wa Marekani katika Kikosi cha Kimataifa cha NATO wakitayarisha zawadi wakati wa sherehe za Krismasi mjini Kabul, Afghanistan Dec. 25, 2013.
![Wakristo wa Kenya na watawa wakisali katika kanisa la Holy Family Cathedral wakati wa misa ya Krismasi mjini Nairobi, Dec. 25, 2013.](https://gdb.voanews.com/dd0c4ee5-cd97-496f-a2a8-2023180a9cb5_w1024_q10_s.jpg)
3
Wakristo wa Kenya na watawa wakisali katika kanisa la Holy Family Cathedral wakati wa misa ya Krismasi mjini Nairobi, Dec. 25, 2013.
![Scott Relf and his girlfriend Lauren Harris laugh as they stand in the rain on Bondi Beach to celebrate Christmas Day in Sydney, Dec. 25, 2013.](https://gdb.voanews.com/3b899912-4319-4223-8487-157e5add70a5_w1024_q10_s.jpg)
4
Scott Relf and his girlfriend Lauren Harris laugh as they stand in the rain on Bondi Beach to celebrate Christmas Day in Sydney, Dec. 25, 2013.