Watu watatu wauliwa na watano kujeruhiwa wakati bomu lililotegwa ndani ya gari kulipuka mbele ya mlango wa uwanja wa ndege wa Mogadishu, Somalia, Alhamisi.
Mlipuko wa bomu Mogadishu, Somalia

1
Muendesha pikipiki akipita katika eneo lililotokea mlipuko wa bomu karibu na mlango wa kuingia uwanja wa ndege wa mji mkuu wa Somalia Mogadishu, Feb. 13, 2014.

2
Mtu akizungumza kwa simu anapita mbele ya eneo la mlipuko wa bomu mbele ya mlango wa uwanja wa ndege wa mji mkuu wa Somalia capital Mogadishu, Feb. 13, 2014.

3
Polisi wa Somalia wakikakua eneo la mlipuko wa bomu karibu na mlango wa uwanja wa ndege wa Mogadishu, Feb. 13, 2014.

4
Mwanajeshi mmoja wa jeshi la Somalia akiokota mabaki kutokana na mlipuko wa bomu Mogadishu, Feb,13, 2014.