Kufuatana na maafisa wa Umoja wa Mataifa na wafanyakazi wa huduma za dharura zaidi ya asili mika 70 ya wanaotafuta hifadhi walowasili katika kijiji cha Idomeni, Ugriki chenye wakazi 154, ni Wasyria na wairaki. .
Wakimbizi waingia hofu baada ya Ulaya kufunga mipaka yake

1
Wakimbizi wakisimama kwa mstari katika kituo cha wakimbizi kuingia Macedonia akatika kijiji cha Idomeni, Ugriki. takriban watu 100 au wachache ndio wanaruhusiwa kuingia kwa siku.

2
Hema katika kambi rasmi ya wakimbizi Tents are scattered all around an official camp.

3
Jalila, mwenye umri wa miaka 79 ni mama wa Ki-Yazidi kutoka Irak Kaskazini anamatumaini kuungana na binti yake huko Uholanzi.

4
Familia moja ya Wasyria wakisubiri kituo cha mpakani kufunguliwa wakiwa kwenye njia ya terni huko Uturuki.
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Makala Maalum
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Mkutano wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- UNGA
- AFCON 2017