Ziara ya rais wa Marekani Joe Biden kwenye daraja lililoharibika na linaliunganisha majimbo ya Ohio na Kentucky akiandamana na kiongozi wa repablikan katika baraza la Seneti Mich McConell wiki hii kuonesha nia yake ya kushirikiana na upinzani. Ziara hiyoya rais pamoja na kiongozi wa warepbalikan inasisitiza pia azma ya tangu mwanzoni ya Biden ya ushirikiano wa kisiasa kuhusiana na masuala ya miundombinu, na masuala mengine muhimu kwa Wamarekani.
Biden atimiza ahadi ya ujenzi wa miundombinu Marekani
Matukio
-
Machi 30, 2024
Movie ya Nigeria ya Over the Bridge yashamiri
-
Januari 05, 2024
Maine yasema Trump hatokuwa kwenye orodha ya wagombea urais
-
Desemba 22, 2023
Matatizo ya kisheria dhidi ya Trump yaendelea kujitokeza