Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 13:18

BAL 2022: Zamalek yaifunga Cobra Sport katika mechi ya ufunguzi ya msimu wa pili wa ligi

BAL 2022: Zamalek yaifunga Cobra Sport katika mechi ya ufunguzi ya msimu wa pili wa ligi
please wait

No media source currently available

0:00 0:09:25 0:00

Michuano ya kanda ya Nile ya msimu wa pili Ligi ya Mpira wa Kikapu barani Afrika ilifunguliwa Jumamosi huko Cairo, Misri huku wenyeji Zamalek (Misri) wakiifunga Timu ya Cobra Sport (South Sudan) kwa jumla ya pointi 80 -63.

Makundi

XS
SM
MD
LG