Viongozi wa Umoja wa Afrika wakamilisha mkutano wao wa 22 mjini Addis Abeba.
Mkutano wa viongozi wa AU

1
Rais Ellen Johnson-Sirleaf wa Liberia awasili kuhudhuria sherhe za ufunguzi wa mkutano wa 22 wa viongozi wa Umoja wa Afrika AU, mjini Addis Ababa, Jan. 30, 2014.

2
Ukumbi mkuu wa Mkutano kwenye makao makuu ya AU wakati wa sherehe za ufunguzi wa mkutano wa 22 katika mji mkuu wa Ethopia, Addis Ababa, Jan. 30, 2014.

3
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ahudhuria mkutano wa 22 wa viongozi wa AU Addis Ababa, Jan. 30, 2014.

4
Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia ahudhuria mkutano wa viongozi wa AU Addis Ababa, Jan. 30, 2014.