Muhammadu Buhari aapishwa kama rais wa Nigeria
Kuapishwa kwa Buhari kama rais wa Nigeria, May 29, 2015
Nigeria imepata kiongozi mpya baada ya Muhammadu Buhari kuapishwa May 29, 2015 kuchukua nafasi ya Rais Goodluck Jonathan aliyemshinda katika uchaguzi wa March

5
Jeshi la Nigeria katika gwaride la sherehe.

6
Muhammadu Buhari akiwapungia wananchi wakati wa sherehe za kuapishwa kwake.

7
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani, John Kerry, katika sherehe za kuapishwa kwa Buhari Nigeria.

8
Rais mpya Muhammadu Buhari akiwapungia wananchi katika moja ya shughuli za kuapishwa kwake.