Upatikanaji viungo

Video

Amri ya kiutendaji ya kuingia Marekani iliyofanyiwa marekebisho.


Wiki hii Mary Mgawe anaangalia amri mpya ya kiutendaji ya kuingia Marekani iliyotolewa wiki hii na Ikulu ya Marekani. Amri hii imefanyiwa marekebisho baada ya ile ya kwanza kupingwa na majaji wa Marekani. Nini kimebadilika? Ungana na Mary Mgawe.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG