Upatikanaji viungo

Amerika yafungua shughuli za serikali 17 Oktoba 2013

Taswira mbali mbali Marekani ambapo ushindani kati ya warepublikan na White House juu ya bajeti ulisababisha kusimamishwa kazi kwa muda maelfu ya wafanyakazi wa serikali kuu tangu Oktoba mosi na wasi wasi kwamba siasa za mzozo ndio namna mpya ya kuongoza Washington.
Onyesha zaidi

Rais wa Marekani Barack Obama akizungumza na vyombo vya habari huko White House baada ya baraza la  Senet kupitisha muswaada wa kufungua tena baadhi ya shughuli za serikali  Oktoba 16, 2013.
1

Kiongozi wa walio wachache kwenye baraza la wawakilishi  Nancy Pelosi akizungumza na vyombo vya habari baada ya mkutano wake na rais Barack Obama.
2

Rais Barack Obama akikutana na uongozi wa baraza la wawakilishi huko White House.
3

Spika wa bunge  John Boehner alipokutana na waandishi huko bungeni.
4

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG