Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Machi 31, 2023 Local time: 13:40

Al Sharpton: Maandamano yataendelea hadi mageuzi ya kisheria kupatikana Marekani


Al Sharpton: Maandamano yataendelea hadi mageuzi ya kisheria kupatikana Marekani
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:41 0:00

Kiongozi mkongwe wa kutetea haki za kiraia Marekani, Al Sharpton, ameahidi kwamba maandamano ya wananchi yataendelea hadi “watakapofanikiwa kubadili kabisa mfumo wa sharia hapa nchini.”

Kiongozi huyo alisema hayo wakati wa ibada ya maombolezi iliyohudhuriwa na zaidi ya watu 100 mjini Minneapolis kwa ajili ya George Floyd.
Al Sharpton mtetezi haki za kiraia Marekani
Kile kilichomfikia Floyd kinatokea kila siku katika nchi hii yetu ikiwa ni katika huduma za elimu na afya na katika kila fani ya maisha ya wamarekani. Wakati umefika kwa sisi kusimama kwa jina la George na kusema ondoa goti lako kwenye shingo letu.
Siku hiyo hiyo ya Alhamisi, maseneta wa chama cha Democratic katika bunge mjini Washington walikusanyika kuomboleza kwa ajili ya George Floyd. ​

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG