watu 50 wauwawa na 53 kujeruhiwa wakati kijani mwenye asili ya Afghanistan kushambulia klabu ya usiku ya wapenzi wa jinsia moja mini Orlando, Florida Marekani Jumamosi usiku kuamkia Jumapili Juni 12, 2016
Shambulizi katika klabu ya wapenzi wa jinsia moja Orlando

1
Marafiki na familia wakifarijiana nje ya makao makuu ya polisi ya Orlando Police baada ya shambulio katika klabu ya Pulse, Orlando, Florida, June 12, 2016.

2
Maafisa wa usalama wawasili katika makao makuu ya Polisi ya Orlando Police baada ya shambulizi katika klabu ya Pulse, Orlando, Florida, June 12, 2016.

3
Demetrice Naulings analia nje ya makao makuu ya [polisi ya Orlando Police ambako mashahidi wanahojiwa kufuatia shambulio kwente klabu ya Pulse, Orlando, Florida, June 12, 2016.

4
Wafanyakazi wa huduma za dharura katika hospitali ya wilaya ya Orlando wakijitayarisha kuwatibu waathiriwa wa shambulio la Pulse huko Orlando, Florida, June 12, 2016.