Fibroids zinavyoleta athari katika afya ya uzazi kwa wanawake
Fibroids ya shingo ya kizazi ni ukuaji wa uvimbe katika shingo ya uzazi. Uvimbe huu unatofautiana kwa idadi na ukubwa lakini sio saratani. Wanawake wanapitia hali hii huenda wakashuhudia kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi. Ugonjwa huu unaweza kusababisha mwanamke kushindwa kushika mimba.
Forum