Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Desemba 06, 2024 Local time: 22:41

Umoja wa Mataifa watoa wito kwa vyombo vya usalama vya Comoros kutotumia nguvu vinapopambana na waandamanaji wenye gadhabu

Umoja wa Mataifa watoa wito kwa vyombo vya usalama vya Comoros kutotumia nguvu vinapopambana na waandamanaji wenye gadhabu
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa vikosi vya usalama vya Comoros kutotumia nguvu vinapopambana na waandamanaji wenye hasira, baada ya tume ya uchaguzi ya nchi hiyo kumtangaza Rais Azali Assoumani mshindi wa uchaguzi wa Januari 14.

XS
SM
MD
LG