Gavana wa jimbo la Maine anasema takriban watu 18 waliuawa na 13 walijeruhiwa kwa risasi katika jimbo lake, wakati mwanamume mmoja alipofyatua risasi kwenye eneo la kucheza mpira wa bowling, na kwenye mgahawa katika mji wa Lewiston na kisha kutoroka, na kusababisha msako mkubwa.