Wakuu wa Nchi kutoka kote ulimwenguni wamekusanyika New York kwa ajili ya Majadiliano ya Jumla yaliyoanza Jumanne. Maandamano hayo yanafanyika nje kidogo ya Makao Makuu ya UN, jijini New York, Marekani
Waandamanaji wajitokeza nje kidogo ya Makao Makuu ya UN wakitaka kumalizika udhalimu kwa watu wa Sierra Lione
Huku Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa likiendelea na vikao vyake Ijumaa, waandamanaji wakitaka kumalizika udhalimu kwa watu wa Sierra Lione.
5
Maandamano yakishinikiza kumalizika udhalimu kwa watu wa Sierra Lione nje kidogo ya Makao Makuu ya UN jijini New York, Septemba 22, 2023.