Breaking News
Ijumaa, Novemba 13, 2026 Local time: 08:54

Marekani kufuatilia kwa karibu namna Iran itakavyotumia dola bilioni 6 zilizotolewa kama sehemu ya makubaliano ya kubadilishana wafungwa


Marekani  kufuatilia kwa karibu namna Iran itakavyotumia dola bilioni 6 zilizotolewa kama sehemu ya makubaliano ya kubadilishana wafungwa

No media source currently available

Marekani imeahidi kufuatilia kwa karibu namna Iran itakavyotumia dola bilioni 6 zilizokuwa zimeshikiliwa ikiwa sehemu ya makubaliano ya kubadilishana wafungwa, baada ya Rais wa taifa hilo Ebrahim Raisi kusema kwamba ni juu ya Tehran kuamua fedha hizo zitakavyotumika.

XS
SM
MD
LG