Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Septemba 27, 2023 Local time: 21:51

Spika wa baraza la wawakilishi Marekani aanzisha uchunguzi kwa nia ya mswada wa kutokuwa na imani na Rais Biden

Spika wa baraza la wawakilishi Marekani aanzisha uchunguzi kwa nia ya mswada wa kutokuwa na imani na Rais Biden
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Spika wa baraza la wawakililishi la Marekani Kevin McCathy amesema kwamba anaanzisha uchunguzi wa kutokuwa na Imani kwa rais Joe Biden

XS
SM
MD
LG