Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Septemba 29, 2023 Local time: 23:36

Raia wa Afrika Kusini waikosoa serikali kufuatia mkasa wa moto ambapo zaidi ya watu 70 walifariki

Raia wa Afrika Kusini waikosoa serikali kufuatia mkasa wa moto ambapo zaidi ya watu 70 walifariki
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Maswali yaLIendelea kuibuka Ijumaa nchini Afrika Kusini kufuatia moja ya mikasa mibaya Zaidi ya moto katika taifa hilo, ambapo watu wasiopungua sabini na wanne, wakiwemo watoto kumi na wawili, walipoteza maisha yao, mjini Johannesburg.

XS
SM
MD
LG