Lakini licha ya kujaribu kukimbia mapigano akisema hata hawajui walikokuwa wanakimbilia. Anatoa wito kwa wahusika kufanya bidii ya kutafuta amani ili yeye na wakimbizi wengine waweze kurejea katika makazi yao. Anaeleza hatari za kuishi kambini ikiwepo maambukizi ya magonjwa mbalmbali. Endelea kusikiliza.
DRC: Muathirika wa vita aeleza alivyojeruhiwa na bomu, aomba amani
Zinazohusiana
Matukio
-
Aprili 25, 2024
Asilimia 88 ya Wamarekani wanaunga mkono kuhalalishwa bhangi
-
Machi 05, 2024
Je, nini Super Tuesday?
-
Machi 05, 2024
Misaada ya kimataifa yaanza kuwasili Sudan
-
Februari 12, 2024
Polisi wapambana na waandamanai Kinshasa