Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Oktoba 13, 2026 Local time: 06:34

Tanzania: Mwanasiasa Tundu Lissu arejea nchini, awahutubia wananchi


Tanzania: Mwanasiasa Tundu Lissu arejea nchini, awahutubia wananchi
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:24 0:00

Makamu wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amewasili nchini Tanzania Jumatano na kuelekea uwanjani huko wilayani Temeke ambako amepata nafasi ya kuwahutubia wanachama, wafuasi wake na Watanzania.

​
XS
SM
MD
LG