Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Machi 28, 2024 Local time: 13:55

Serikali ya DRC yalaumu M23 kwa shambulizi dhidi ya helikopta


Serikali ya DRC yalaumu M23 kwa shambulizi dhidi ya helikopta
please wait

No media source currently available

0:00 0:30:00 0:00

Serikali ya DRC siku ya Jumatatu iliwalaumu waasi wa M23 kwa shambulizi dhidi ya helikopta na kumuua mwanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa, huku mamia ya watu katika mji wa mashariki wa Goma wakiandamana kutokana na kukithiri kwa ukosefu wa usalama katika eneo hilo.

XS
SM
MD
LG