Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Machi 28, 2024 Local time: 23:40

Brazil: Wananchi wajitokeza kumuunga mkono Rais Lula da Silva


Brazil: Wananchi wajitokeza kumuunga mkono Rais Lula da Silva
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:33 0:00

Wananchi wa Brazil wanaotetea demokrasia wamejitokeza kumuunga mkono Rais wao Luiz Inácio Lula da Silva baada ya baadhi ya wafuasi wa Rais wa zamani Jair Bolsonaro kuvamia majengo ya bunge, mahakama kuu na ikulu. Hata hivyo askari wa kuzuia ghasia waliweza kuwaondoa.

XS
SM
MD
LG