Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Februari 07, 2023 Local time: 13:36

Upinzani Kenya unasema unapanga kuanzisha tena msukumo ulioboreshwa ili kufanyia katiba marekebisho nchini humo

Upinzani Kenya unasema unapanga kuanzisha tena msukumo ulioboreshwa ili kufanyia katiba marekebisho nchini humo
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Raila Odinga amesema mapendekezo hayo ya katiba yanahitajika kwa sasa kwani ndio jawabu tosha la kuponya makovu ya ghasia za uchaguzi, ukabila, chuki na ufisadi unaokera wananchi wa Kenya

XS
SM
MD
LG