Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Mei 18, 2024 Local time: 02:58

Rais wa Kenya William Ruto anakutana na Rais wa DRC Felix Tshisekedi kuzungumzia usalama huko mashariki mwa DRC

Rais wa Kenya William Ruto anakutana na Rais wa DRC Felix Tshisekedi kuzungumzia usalama huko mashariki mwa DRC
please wait

No media source currently available

0:00 0:30:00 0:00

Rais Ruto atafanya mazungumzo na Rais Felix Tshisekedi juu ya masuala tofauti ikiwemo hali ya usalama mashariki mwa DRC kabla ya kuelekea Korea Kusini baadaye Jumatatu. Ziara ya Ruto inakuja baada ya ziara ya mtangulizi wake Uhuru Kenyatta ambaye ni mpatanishi katika mzozo wa DRC kwa niaba ya EAC

XS
SM
MD
LG