Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Machi 28, 2024 Local time: 16:46

Wanafunzi waeleza kulazimika kwao kutumia usafiri hatari wa majini


Wanafunzi waeleza kulazimika kwao kutumia usafiri hatari wa majini
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:06 0:00

Wanafunzi katika kijiji cha Komote kando kando ya Ziwa Turkana, Kenya wanalazimika kutumia usafiri wa mashua kwenda shuleni wakihatarisha maisha yao kutokana na mamba na viboko walioko katika ziwa hilo.

Hili limesababishwa na mabadiliko ya tabia nchi kwani miaka miwili iliyopita walikuwa wanakwenda kwa njia ya miguu ambayo hivi sasa haipitiki. Ungana na mwandishi wetu akikuletea taarifa kamili na ushuhuda wa wanafunzi...

XS
SM
MD
LG