Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 06, 2022 Local time: 00:32

Dkt Zainab aeleza bado juhudi zaidi zinahitajika kukuza lugha ya Kiswahili


Dkt Zainab aeleza bado juhudi zaidi zinahitajika kukuza lugha ya Kiswahili
please wait

No media source currently available

0:00 0:11:39 0:00

Mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Zanzibar Dr Zainab Ali Idd ambaye ni mtaalam wa lugha ya Kiswahili anaeleza kuwa bado juhudi zaidi zinahitajika kukuza lugha ili kuhakikisha lugha hii inakuwa lugha ya ulimwengu kama zilivyo lugha nyingine za kimataifa. Endelea kusikiliza nasaha zake...

XS
SM
MD
LG