Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Desemba 10, 2022 Local time: 00:57

Benki kuu ya Tanzania yachukua hatua kupunguza mfumuko wa bei


Benki kuu ya Tanzania yachukua hatua kupunguza mfumuko wa bei
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Benki kuu ya Tanzania itapunguza mzunguko wa fedha katika uchumi mwezi Septemba na Oktoba ili kupunguza kasi ya mfumuko wa bei katika nchi hiyo taarifa ya kamati ya sera ya fedha ya benki hiyo (MPC) iliyochapishwa Jumamosi ilieleza.

XS
SM
MD
LG