Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Desemba 06, 2023 Local time: 07:24

Wanasiasa walaumiwa kuchangia katika mzozo mashariki mwa DRC


Wanasiasa walaumiwa kuchangia katika mzozo mashariki mwa DRC
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Baada ya uchunguzi na utafiti kuhusu vita vinavyoendelea kwa muda mrefu mashariki wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wachambuzi na watafiti wa masuala ya migogoro nchini DRC wanasema wanasiasa wameonekana kuchangia kwa sehemu kubwa katika mzozo mashariki mwa nchi.

XS
SM
MD
LG