Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Julai 27, 2024 Local time: 04:15

Kagame ashutumu mataifa ya Magharibi kwa "kutoingilia kati na kusitisha mauaji ya 1994"


Kagame ashutumu mataifa ya Magharibi kwa "kutoingilia kati na kusitisha mauaji ya 1994"
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Rais wa Rwanda, Paul Kagame Alhamisi aliikosoa Jumuiya ya kimataifa kwa "kukaa kimya wakati wa mauaji ya kimbari ya mwaka wa 1994," ambapo inaaminika kwamba takriban watu laki nane walipoteza maisha yao katika mashambulizi yaliyowalenga zaidi Watutsi.

XS
SM
MD
LG