No media source currently available
Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa amewasili nchini Zimbabwe Jumatatu kutathmini athari za vikwazo vilivyowekewa taifa hilo na Marekani na Umoja wa Ulaya.