No media source currently available
Wahandisi nchini Kenya wamebuni mkono wa bandia unaotumia mawasiliano ya umeme na ubongo kupitia kifaa kinacho valiwa kichwani huenda teknolojia hii itakuwa ni faraja kubwa kwa watu wenye ulemavu.